Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa NEC wakati
wa ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichofanyika
leo kwenye ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM jijini
Dodoma, kwa ajili ya kujadili na kupitisha majina ya wagombea wake wa
Ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Home
HABARI
SIASA
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA CCM (NEC) KATIKA MAKAO MAKUU YA CCM JIJINI DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...