RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo ametunukiwa tuzo ya ufanisi katika kuliongoza taifa pamoja na kulishinda janga la Corona (COVID-19) hapa nchini ambapo Mgonjwa wa kwanza kupatikana hapa nchini alitangazwa Machi 16,2020.

Tuzo hiyo ametunikiwa na Kanisa la Tanzania Asemblis of God (TAG) leo wakati akizungumza na Baraza kuu la kanisa hilo katika ukumbi wa chuo cha biblia Mijuji jijini Dodoma leo.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru kwa unyenyekevu baada ya kutunukiwa tuzo ya heshima na Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) alipohudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo Ijumaa Agosti 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea tuzo ya heshima kutoka kwa Askofu mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Dkt Barnabas Mtokambali alipohudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo Ijumaa Agosti 14, 2020 jijini Dodoma leo Ijumaa Agosti 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma leo Ijumaa Agosti 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishangilia akiwa meza kuu katika Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma leo Ijumaa Agosti 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma leo Ijumaa Agosti 14, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na viongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of GOD (TAG) wakati wa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo Agosti 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of GOD (TAG) baada ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo Agosti 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wainjilisti katika Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) baada ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo Agosti 14, 2020 PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga waumini baada ya kuhudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of GOD (TAG) jijini Dodoma leo Agosti 14, 2020

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...