Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Abubakar Kunenge amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Soko la Kisuku unaoendelea hivi sasa katika eneo hilo.  

RC Kunenge ametoa miezi miwili tu kukamilika kwa mradi huo, badala ya miezi sita aliyoomba Mkandarasi anayesimamia mradi huo.


 "Mkandarasi naomba uongeze watu wasaidie mradi huu kukamilika kwa wakati", amesema RC Kunenge.

Mradi huo ulipangwa kukamilika Agosti 24 mwaka huu mpaka sasa umekamilika kwa asilimia  60.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...