Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akabidhiwa fomu ya kuwania
Ubunge wa Jimbo la Kongwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Kongwa, Dkt. Omary Nkullo tukio lililofanyika leo katika Ofisi za
Halmashuri hiyo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma.
Spika wa Bunge,
Mhe. Job Ndugai akiongozana na Wachama mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) kutoka Jimbo la Kongwa wakati akienda kuchukua fomu ya kuwania
Ubunge wa Jimbo la hilo tukio lililofanyika leo Wilayani Kongwa Mkoani
Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akionyesha fomu ya kuwania Ubunge wa
Jimbo la Kongwa aliyokabidhiwa leo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Wilaya ya Kongwa, Dkt. Omary Nkullo (hayupo kwenye picha) tukio
lililofanyika leo katika Ofisi za Halmashauri hiyo Wilayani Kongwa
Mkoani Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Dkt. Omary Nkullo wakati akielezewa
utaratibu kabla ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kongwa
tukio lililofanyika leo katika Ofisi za Halmashauri ya Kongwa Mkoani
Dodoma.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...