MKURUGENZI
Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) , kwa niaba ya Bodi ya Wadhamini,
anasikitika kutangaza kifo cha Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani CPA
Shadrack O. Aiko kilichotokea tarehe 24 Agosti, 2020 jijini Dodoma.
Mfuko
unatoa pole kwa familia ya marehemu, wafanyakazi wenzake, ndugu, jamaa na
marafiki. Taratibu za mazishi zinafanyika Bunju, Jijini Dar es Salaam na maziko
yatafanyika tarehe 30 Agosti 2020 Shirati, Rorya mkoani Mara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...