Mkurugenzi Mtendaji wa (TASAF) Bw. Ladslaus Mwamanga akimkaribisha Injinia Emmanuel Kalobelo Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro kulia ili kufungua semina ya wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Mpango wa Tatu wa Kunusuru kaya masikini awamu ya pili inayofanyika Chuo Cha Veta mkoani Morogoro kushoto ni Selina Wilson Mwenhyekiti wa semina hiyo.
Injinia Emmanuel Kalobelo Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro akifungua semina ya wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Mpango wa Tatu wa Kunusuru kaya masikini inayofanyika Chuo Cha Veta mkoani Morogoro katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa (TASAF) Bw. Ladslaus Mwamanga na Selina Wilson Mwenyekiti wa Semina hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa (TASAF) Bw. Ladslaus Mwamanga kushoto, Injinia Emmanuel Kalobelo Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro na Mhariri wa. Gazeti la Uhuru Selina Wilson wakifuatilia kwa karibu mjadala uliokuwa ukiendelea katika semina hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa (TASAF) Bw. Ladslaus Mwamanga akiwasilisha mada kwa wahariri wa vyombo vya habari na waandishi wa habari katika semina iliyofanyika kwenye Chuo cha VETA mjini Morogoro.
Picha ya Pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...