Meneja
ruzuku na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald
akizungumzia namna mradi wa Vodacom Instant Schools unavyounganisha
intaneti na kusaidia wanafunzi katika maeneo ya pembezoni kujisomea
wakiwa nje ya shule lakini pia jinsi ambavyo program hii inaunganisha
shule zilizoko vijijini (School Connectivity).Wengine pichani ni Mhandisi kutoka UCSAF Ritha Kimolo (kushoto) na Msaidizi wa Mradi kutoka ISOC Peter Mmbando.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...