Muuza bidhaa za Vodacom Thomas Jacob, akitoa maelezo kwa wateja kuhusu
ubora wa simu za Smart Kitochi, katika viwanja vya Nyakabindi mkoani
Simiyu, wakati wa maonesho ya nane nane.
Meneja Biashara na Mkakati wa Mauzo wa Vodacom, kanda ya kati Baraka
Siwa (kushoto) akimuonesha mteja, Patrick Sulpice simu aina ya smart
kitochi yenye 4G ambayo imepunguzwa bei kutoka 48,000 hadi 45,000
alipotembelea banda la kampuni hiyo jana kwenye maonesho ya nanenane
kanda ya kati yanayoendelea eneo la Nzuguni Jijini Dodoma.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...