Waziri Viwanda na Biashara Bw Innocent Bashungwa akizungumza na wanawake wajasiliamali zaidi ya 400 kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao walishiriki kwenye Kongamano la Biashara na Kilimo lililoandaliwa na Jumuiya wa Wafanyabiashara wanawake na Vijana (TABWA) kwa kushirikiana na Benki ya NBC na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) linalofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Kilimo ya NaneNane  yanayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Nyakabindi, Bariadi mkoani  Simiyu .

 Meneja Bidhaa na Huduma za Kibenki kutoka Benki ya NBC Bw Jonathan Bitababaje, akizungumza na wanawake wajasiliamali zaidi ya 400 kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao walishiriki kwenye Kongamano la Biashara na Kilimo lililoandaliwa na Jumuiya wa Wafanyabiashara wanawake na Vijana (TABWA) kwa kushirikiana na Benki ys NBC na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) linalofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Kilimo ya NaneNane  yanayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Nyakabindi, Bariadi mkoani  Simiyu .

 Waziri Viwanda na Biashara Bw Innocent Bashungwa (Kulia) akipokea zawadi maalumu kutoka kwa Mkurugenzi wa Jumuiya wa Wafanyabiashara wanawake na Vijana (TABWA) Bi Doreen Mawala ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa Waziri huyo katika kuwasaida wajasiliamali wananawake nchini.

 Sehemu ya washiriki wa Kongamano hilo.

 Waziri Viwanda na Biashara Bw Innocent Bashungwa (Kulia) akimsikiliza Bw Verimund Kapinga (Kushoto)  kutoka kampuni ya ETC Agro ambayo ni mteja wa Benki ya NBC na mdau wa Kilimo wakati Waziri huyo alipotembelea banda la Benki hiyo lililopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Kilimo ya NaneNane  yanayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Nyakabindi, Bariadi mkoani  Simiyu. Anaeshuhudia ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga (Katikati).

 Waziri Viwanda na Biashara Bw Innocent Bashungwa (Kulia) akizungumza na mmoja wa wajasiliamali ambae mteja wa Benki ya NBC Bi Melina Cheisa (Kushoto) wakati Waziri huyo alipotembelea banda la Benki hiyo lililopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Kilimo ya NaneNane  yanayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Nyakabindi, Bariadi mkoani  Simiyu. Anaeshuhudia ni Meneja Bidhaa na Huduma za Kibenki kutoka Benki ya NBC Bw Jonathan Bitababaje (katikati)

 Waziri Viwanda na Biashara Bw Innocent Bashungwa (Katikati) akizungumza na Bi Teddy Mosha (Kulia) kutoka kampuni ya uzalishaji wa mafuta ya alizeti ya  Gilitu Enterprises ambae ni mteja wa benki ya NBC wakati Waziri huyo alipotembelea banda la Benki hiyo lililopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Kilimo ya NaneNane  yanayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Nyakabindi, Bariadi mkoani  Simiyu. Anaeshuhudia ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga (alievaa Tshirt nyeupe).
Waziri Viwanda na Biashara Bw Innocent Bashungwa (Kulia) akizungumza na Bw Hekela Sigalla (Kulia) kutoka kampuni ya utengenezaji wa mashine za samani (furniture) ya  Azienda Group ambae ni mteja wa benki ya NBC wakati Waziri huyo alipotembelea banda la Benki hiyo lililopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Kilimo ya NaneNane yanayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Nyakabindi, Bariadi mkoani  Simiyu. Anaeshuhudia ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga (kushoto).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...