Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akisalimiana na watumishi wanaofanya kazi katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga kwenye Mpaka wa Tanzania na Burundi. alipowasili katika kituo hicho kwa ziara ya kikazi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiongea na wasafiri wanaokwenda Burundi na Uganda wanaosubiri taratibu za uhamiaji katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiongea na Afisa Uhamiaji katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga kwenye Mpaka wa Tanzania na Burundi.
Kaimu Meneja wa Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga akisoma taarifa kuhusu utendaji wa Kituo hicho.
Ujumbe uliongozana na Balozi Ibuge wakisaini Kitabu cha Wageni katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga kwenye Mpaka wa Tanzania na Burundi.

Malori yakiwa katika foleni ya kusubiri ukaguzi kutoka maafisa wa Burundi ili yaendelee na safari.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge na ujumbe wake wakiwa mpakani mwa Tanzania na Burundi kwenye eneo la Kabanga.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga kwenye Mpaka wa Tanzania na Burundi





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...