Mgombea
ubunge Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent
Bashungwa (shati la kijani) akiwa ameambatana na Mgombea ubunge viti
maalum, Oliva Semguruka(kulia) na Mjumbe wa mkutano mkuu taifa na Mgombe
Udiwani kata Nyabiyonza, Thomas Rwentabaza kuwatembelea wanafunzi
waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia ajari ya kuungua moto
bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa
kuamkia leo. , Kyerwa, Kagera, Septemba 14, 2020
Mgombea ubunge Jimbo la Karagwe na
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (shati la
kijani) akimsalimia na kumpa pole Bw. Self Juma, baba wa mwanafunzi
aliyelazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia ajari ya kuungua moto
bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa
kuamkia leo, nyuma ni Mgombea ubunge viti maalum, Oliva Semguruka,
Mjumbe wa mkutano mkuu taifa na Mgombe Udiwani kata Nyaboyonza, Thomas
Rwentabaza(kulia), Kagera, Septemba 14, 2020
Mgombea
ubunge Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent
Bashungwa (shati la kijani) akiwa ameambatana na Mgombea ubunge viti
maalum, Oliva Semguruka(kulia) na Mjumbe wa mkutano mkuu taifa na Mgombe
Udiwani kata Nyabiyonza, Thomas Rwentabaza (kulia) kuwatembelea
wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia ajari ya
kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea
usiku wa kuamkia leo. , Kyerwa, Kagera, Septemba 14, 2020

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...