MGOMBEA Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Kigoma katika Mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 18 Septemba 2020.



Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Kigoma.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...