Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimuapisha Nd.George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria.[Picha na Ikulu].18/09/2020. 

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid wakati wa hafla ya kuapishwa Nd.George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria.[Picha na Ikulu].18/09/2020.
Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar pamoja na Mawakili wakiwa katika hafla ya kuapishwa Nd.George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria.[Picha na Ikulu].18/09/2020.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...