Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Magufuli akivalisha kofia Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi baada ya kutumbuiza leo katika Mkutano wa Kampeni, Urambo mkoani Tabora leo.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi jambo baada ya kumvalisha kofia Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Stamina baada ya kutumbuiza leo katika Mkutano wa Kampeni, Urambo mkoani Tabora leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...