Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM ya 2020/25 Mbunge mteule kwa tiketi ya CCM Jimbo la Mahuta Tandahimba Katawi Ahmad Katawi kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 11,2020.Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mahuta Wilaya ya Tandahimba  Mkoani Mtwara baada ya kuwahutubia mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Mahuta Tandahimba Mtwara leo Septemba 11,2020.Jumla ya Wanachama 150 kutoka Vyama ACT Wazalendo, CUF na Chadema Wilayani Tandahimba wakionesha na kurudisha kadi zilizokuwa za Vyama walivyotoka baada ya kuamuwa kuvihama Vyama hivyo na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM kwenye mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Septemba 11,2020 katika Uwanja wa Mahuta Wilayani Tandahimba ambapo Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwapokwa Wananchi hao. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...