MGOMBEA ubunge Jimbo la Mkuranga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi Kampeni CCM wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani, Septemba 2, 2020.
(Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mkuranga, Ali Msikamo akisisitiza jambo.
Msanii wa Kizazi Kipya wa Muziki wa Bongo Fleva,Meja Kunta akitoa burdani.(Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
(Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mkuranga, Ali Msikamo akisisitiza jambo.
Sehemu ya Viongizo mbalimbali wa CCM


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...