Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, kushoto akiwakabidhi  Maafisa, Wakaguzi na Askari Bendera ya Tanzania leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dodoma kabla ya kuanza safari ya kwenda kulinda Amani Nchini  Sudani.

Wa kwanza kushoto ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, na wakwanza kulia ni SACP Lenata Mzinga wakiwakabidhi  Maafisa, Wakaguzi na Askari Bendera ya Tanzania leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dodoma kabla ya kuanza safari ya kwenda kulinda Amani Nchini  Sudani.

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas akisalimiana na mmoja ya Askari aliefahamika kwa jina la WP Kirsten A. Said wakati walipokuwa wakiagwa Makao Makuu ya Polisi Jijini Dodoma kwenda kwenye Ulinzi wa Amani Nchini  Sudani. (Picha na Jeshi la Polisi)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...