Kamishna wa Utawala CP Benedict Wakulyamba akifungua kikao kazi cha wakuu wa Vituo Tiba katika Kikosi cha Afya ndani ya Jeshi la Polisi Tanzani katika Ukumbi wa ST Gasper Conference Centre uliopo mkoani jijini Dodoma.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Jijini Dodoma RPC (SACP) Gilles Muroto akiwa anatoa mada katika kikao kazi cha cha Wakuu wa Vituo Tiba katika Kikosi cha Afya Ndani ya Jeshi la Polisi katika Ukumbi wa ST Gasper Conference Centre uliopo Mkoani Dodoma.
Kamishna wa utawala wa Jeshi la Polisi CP Benedict Wakulyamba katikati Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma RPC (SACP) Gilles Muroto kulia na kushoto kwa kamishna ni SSP Gerad O. Magesa Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Afya Ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vituo Tiba vya Polisi Tanzania nje ya ukumbi wa ST Gasper Conference jijini Dodoma.
(Picha na Jeshi la Polisi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...