Timu ya Manispaa ya Kinondoni , KMC FC kesho itashuka katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam kucheza mchezo wao wa pili dhidi ya Tanzania Prisons saa 10.00 kamili jioni.
Katika mchezo huo Timu ya KMC FC itaingia uwanjani huku ikiwa inaongoza ligi kuu Tanzania bara mara baada ya kushinda mchezo wao wa kwanza waliocheza na timu ya Mbeya City Septemba saba mwaka huu.
Hata hivyo kikosi hicho kipotayari kwa mchezo huo na kwamba hakuna mchezaji ambaye ni majeruhi hivi sasa ikiwa ni mara baada ya kumalizika kwa mchezo uliopita dhidi ya Mbeya City pamoja na mazezi mbalimbali ambayo timu hiyo ilikuwa ikifanya kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo.
Aidha katika mchezo huo, Timu ya KMC FC imejipanga katika kuhakikisha kuwa inapata matokeo mazuri ya mchezo huo li iweze kupata nafasi ya kuendelea kuongoza liki kuu katika msimu huu wa 2020/2021.
Imetolewa leo Septemba 11
Na Christina Mwagala
Afisa Habari wa Timu ya KMC FC.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...