Dereva wa gari akishuka kwenye gari katika Barabara ya Kinondoni leo jijini Dar es Salaam baada ya kumgonga mwendesha pikipiki kama avyonekanavyo pichani, dereva huyo wa boda boda alinusurika kifo.
(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)
Dereva wa Gari akimpa pole dereva wa boda boda alinusurika kifo.
Wasamalia wema wakimsiliza kwa makini dereva wa gari ambapo amesema chanzo cha ajali ni dereva wa pikipiki aliingia barabarani bira kufata sheria za barabrani.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...