




Mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvisha kofia ya CCM msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize baada ya kutumbuiza kwenye mkutano
wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa Mazaina leo Jumatatu Septemba
Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakiwa katika Uwanja wa Mazaina mjini Chato mkoani Geita kumsikiliza mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
mkutano wa hadhara wa kampeni leo Jumatatu Septemba 14, 2020


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...