Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Chemba, Mohammed Moni, katika kijiji
cha Kelema, kata ya Paranga, wilayani Chemba , kwenye mkutano wa
kampeni, Septemba 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Kelema, kata ya Paranga, wilayani
Chemba, baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni, Septemba 13, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kelema, kata ya Paranga, wilayani
Chemba , katika mkutano wa kampeni, Septemba 13, 2020. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Kelema, kata ya Paranga, wilayani
Chemba, baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni, Septemba 13, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...