Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wagombea Ubunge wa
CCM, Salma Kikwete wa Jimbno la Mchinga (wa pili kulia) na
Hamida Abdallah wa Jimbo la Lindi wakati alipowasili kwenye kijiji cha
Chinongwe wilayani Ruangwa,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili
kwenye kijiji cha Chinongwe wilayani Ruangwa, kuzindua kapeni za CCM
wilayani humo,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mgombea Ubunge wa CCM
Jimbo la Mtama aliyepita bila kupingwa, Nape Nnauye wakati alipowaomba
wananchi wampigie kura Rais Dkt. John Pombe Magufuli, wabunge na
Madiwani wa CCM katika uzinduzi wa kampeni za CCM wilayani Ruangwa
zilizoongozwa na Waziri Mkuu kwenye kijiji cha Chinongwe

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati Mbunge Mteule wa
Viti Maalum Mkoa wa Lindi, Kijazi Yunus Mohamed alipopiga magoti
kuwaomba wananchi wa Ruangwa wampigie kura Rais Dkt. John Pombe
Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM katika uzinduzi wa kampeni za CCM
wilayani Ruangwa ulioongozwa na Waziri Mkuu kwenye kijiji cha
Nachinongwe, Septemba 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...