Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi
ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha
Mapinduzi na Wananchi wa Mchinga Mkoani Lindi alipokuwa njiani kuelekea
Mkoani Mtwara kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi
CCM leo Septemba 09,2020.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...