Msanii wa bongo freva Omary Ally (Marioo)Msanii wa bongo freva Omary Ally (Marioo), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salam leo.

Na Life Shija, Michuzi Tv
Msanii wa bongo freva Omary Ally (Marioo) amekana tuhuma za yeye kutumia kiki ili kukuza muziki wake.

Marioo amesema hayo leo alipokuwa katika mahojiano na waandishi wa habari akiwa anatangazwa kuwa balozi wa Jourbag Clasic wear(JCW) Sinza mori jijini Dar es Salaam leo.

Marioo amesema kuwa yeye ni msanii anaejua na pia anafanya mziki wa aina ya peke yake hivyo hawezi kutumia kiki ili kukuza muziki wake.

"Naamini kwamba muziki wake unanguvu ya kufanya nikasogea sehemu fulani na kila mmoja akesema Marioo kafika sehemu flani, sizani kama kuna kiki."Amesema Marioo

Hata hivyo Marioo amewashakuru waandishi wa habari kwa kuwa kipaumbele kufikisha na kuonesha taarifa kwa jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...