Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya alipowasili katika Uwanja wa Mwakangale kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akihutubia  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Mwakangale Kyela

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimvalisha kofia kada wa CCM Mzee Adam (80)mkazi wa Kyela Mbeya baada ya kuwahutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM  katika Uwanja wa Mwakangale Kyela Mkoani Mbeya

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akinong’onezana jambo na mmoja wa kada wa CCM Wilayani Kyela  baada ya kuwahutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM  katika Uwanja wa Mwakangale Kyela Mkoani Mbeya.

 

Sehemu ya wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakati akihutubia  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Mwakangale Kyela

 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya baada ya kuwahutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM  katika Uwanja wa Mwakangale Kyela Mkoani Mbeya leo Septemba 22,2020.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)    

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...