Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Kipingu na Ilela Ludewa alipowasuili  Wilayani Ludewa Mkoani Njombe leo Septemba 18,2020 kwa ajili ya kuanza ziara ya mikutano ya Kampeni  za Chama cha Mapinduzi CCM.                           

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye Kivuko cha MV.  Ruhuhu akitokea Mkoani Ruvuma na kuelekea Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kwa ajili ya kuanza ziara ya mikutano ya Kampeni  za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 18,2020. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Odo Kilian Mwisho.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiteremka kutoka katika Kivuko cha MV.  Ruhuhu akitokea Mkoani Ruvuma, alipowasili katika Kijiji cha Kipingu Wilayani Ludewa Mkoani Njombe kwa ajili ya kuanza ziara ya mikutano ya Kampeni  za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 18,2020.                          

 (Picha  na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...