Mgombea Ubunge wa jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo mkoani Kigoma kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Julius Masabo akiwaomba kura wakazi wa Kibondo mjini wakati wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni za mgombea huyo.(Picha na Said Powa)
Wananchi wa Kibondo mjini wakimsikiliza sera za mgombea huyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...