Mgombea Urais wa Chama cha
Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kuhutubia
wananchi katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Sengerema.
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya
Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia Wananchi wa Sengerema katika mkutano wa Kampeni za CCM
uliofanyika katika viwanja vya mnadani Sengerema mkoani Mwanza leo
Sehemu ya Wananchi wa Sengerema
waliohudhuria mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha
Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika
katika viwanja vya mnadani Sengerema mkoani Mwanza
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya
Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wananchi wa Usagara na Misungwi mkoani Mwanza wakataki
akielekea Sengerema kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za CCM

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya
Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimnadi Mgombea Ubunge wa Sengerema kwa Tiketi ya CCM Hamis Tabasamu
wakati akielekea kwenye mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM.

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya
Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wananchi wa Nyahunge katika Jimbo la Buchosa mkoani
Mwanza katika mikutano ya Kampeni za CCM .

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya
Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia Wananchi wa Nzera mkoani Geita katika Mikutano ya Kampeni za
Chama cha Mapinduzi CCM wakati akitokea Buchosa Sengerema mkoani Mwanza
leo tarehe 8 Septemba, 2020.
Ni saa mbili asubuhi lakini maelfu
yav wananchi wa jiji la Mwanza wamejipanga kandokando ya barabara
maeneo mbalimbali ya jiji hilo kumuaga Mgombea Urais wa Chama cha
Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo
Mgombea Urais wa Chama cha
Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na kuagana na
maelfu ya wananchi eneo la Misungwi mkoani Mwanza akiwa njiani kuelekea
mkoa wa Geita

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...