Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi
wa Jimbo la Nanyamba Mtwara Vijijini alipowasili katika Uwanja wa
Polisi Nanyamba kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha
Mapinduzi CCM.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la
Nanyamba Mtwara Vijijini katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha
Mapinduzi CCM kwenye Uwanja wa Polisi Nanyamba
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi
CCM na Wananchi wa Jimbo la Nanyamba Mtwara Vijijini wakimsikiliza
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa
tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano
wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Uiwanja Polisi Nyanyamba
leo Septemba 10,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimkabidhi kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 Mgombe Kiti cha
Ubunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini kwa tiketi ya CCM Mhe. Hawa Ghasia
wakati wa mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika
katika Uwanja wa Polisi Nanyamba.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiagana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la
Nanyamba Mtwara Vijijini baada ya kuwahutubia mkutano wa Kampeni wa
Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Polisi Nanyamba leo
Septemba 10,2020.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...