Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi Leonard S. Kapongo akimsikiliza Meneja wa TANROADS Mkoa wa Manyara, Mhandisi Bashiri Rwesingisa, ambaye alitembelea banda la PPRA katika Maonesho ya Siku ya Wahandisi mwaka 2020
Watumishi wa PPRA wakitoa elimu kwa wadau
 
Watumishi wa PPRA wakiwa katika banda lao wakati wa maonesho ya Siku ya Wahandisi (Annual engineers day), 2020 yanayofanyika jijini Dodoma.

 .  Kaimu Mkurugenzi wa Kujenga Uwezo na uduma za Ushauri  -  PPRA, Mhandisi Mary Swai, akitoa elimu kuhusu huduma zinazotolewa na PPRA kwa wadau waliotembelea banda la PPRA kwenye Maonesho ya Siku ya Wahandisi (Annual engineers day), 2020 yanayofanyika jijini Dodoma.
Afisa Mtendaji mkuu wa PPRA, Mhandisi Leonard S. Kapongo akiwa pamoja na watumishi wa Mamlaka hiyo alipotembelea banda lao katika maonesho ya Siku ya Wahandisi (Annual engineers Day), 2020 kujionea namna zoezi la utoaji elimu kwa wadau linavyoendelea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...