RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mama Maryam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais Wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi, walipowasili katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kuhudhurua Taarab maalum ilioandaliwa na CCM  kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar kwa kuteuliwa na Chama chake kugombea nafasi hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe. Dk. Hussein Mwimyi, Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Mgombea  Urais Mama Maryam Mwinyi, wakisoma ratiba ya hafla ya taarab maalum ilioandaliwa na Chama Cha Mapinduzi ,katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 10/9/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke waMgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi , wakifuatilia taarab maalum ilioandaliwa na CCM Zanzibar ya kumpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi kwa kuteuliwa na Chama chake kugombea Urais wa Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana 10-9-2020 usiku
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimtunza Msanii wa Kikundi cha Taarab cha Culture Musical Bi. Fatma Dawa Shehe wakati akiimba wimbo wa “Pongezi kwa Mgombea” katika hafla ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar ,na (kulia ) Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, hafla hiyo imefanyika jana 10-9-2020 usiku
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na (kulia ) Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mama Maryam Mwinyi na (kushoto) Mke wa Makamu wa Rais wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi, wakimtunza muimbaji wa Kikundi cha Culture Musical Bi. Fatma Dawa Shehe, akiimba wimbo wa “Tumtunze Dk. Shein” wakati wa hafla ya Taarab Maalum ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk. Hussein Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 10-9-2020
RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakipiga makofi kumpongeza msanii wa Kikundi cha Taarab cha Culture Musical Bwa. Iddi Suwed, baada ya kumaliza wimbo wake wa “Kama Kupenda ni Dhara”  wakati wa hafla ya Taarab rasmin iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usime 10-9-2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi wakifurahia jambo wakati wa Taarab maalum ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar CCM kwa kuteuliwa na Chama Chake kugombea nafasi ya Urais, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi  Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana 10-9-2020 usiku
MSANII wa Kikundi cha Culture Musical Taarab Bwa, Iddi Suwed akiimba moja ya nyimbo za Kikundi hicho wimbo wa “ Kama Kupenda Dhara” wakati wa hafla ya Taarab Maalum ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi  Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...