Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi
ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na
Wananchi wa Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani katika mkutano wa
Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya kijiji cha
Ikwiriri leo Septemba 07,2020.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...