MSANII Banana Zoro akitumbiza wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya TangamanoJijini Tanga ambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuuya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
Msanii wa Bongofleva Madee akitumbiza wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo laTanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya Tangamano Jijini Tangaambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
MSANII wa Mziki wa Bongofleva nchini Shilole akitumbiza wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo laTanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya Tangamano Jijini Tangaambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
Msanii Shilole akionyesha umahiri wake wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo laTanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya Tangamano Jijini Tangaambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifana Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
Msanii wa Mziki wa Bongo Fleva Maua Sama akitumbuiza wakati wa Uzinduzi huo
Msanii wa Mziki wa Bongofleva Msagasumu akitumbuiza
| Msanii wa Mziki wa Bongo Fleva Kassim Mganga akitumbuiza wakati wa uzinduzi huo |


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...