Mkurugenzi wa Rasilmali watu,
Vodacom Tanzania Plc, (HR) Vivianne Penessis (Kulia) akimkabidhi
zawadi ya begi Loyce Nasoro wa kundi la Solveit kwa kuibuka
washindi wa tatu wa ubunifu wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasichana
katika masomo ya sayansi (Women in Data Science) Dar es Salaam
2020 yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab (DLab) kwa udhamini wa Vodacom
Tanzania Plc.( # Codelikeagirl) Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa
DLab Stephen Chacha, jumla ya Wasichana 60 walihitimu mafunzo hayo ya
muda mfupi.
Mkurugenzi wa Rasilmali watu,
Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessis (Kulia)
akimkabidhi zawadi Nilham Ally wa kundi la Soko Poa baada ya kuibuka
washindi wa kwanza wa ubunifu wa tovuti inayoonesha namna ya kuuza na
kununua bidhaa za vyakula wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo
wasichana katika masomo ya sayansi (Women in Data Science) Dar es
Salaam 2020 yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom
Tanzania Plc, jumla ya Wasichana 60 walihitimu mafunzo hayo ya muda
mfupi.

Mkurugenzi wa Rasilmali watu,
Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessir (Kulia) akimkabidhi Rayyan
Ahmed cheti cha kuhitimu mafunzo ya kuwajengea uwezo wasichana katika
masomo ya sayansi (Women in Data Science) Dar es Salaam
2020 yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab (DLab) kwa udhamini wa Vodacom
Tanzania Pllc. .( # Codelikeagirl) Anayeshuhudia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa DLab Stephen Chacha, jumla ya Wasichana 60 walihitimu
mafunzo hayo ya muda mfupi
Mkurugenzi wa Rasilmali Watu,
Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessis (Kulia) akiongea na
wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari wakati wa kuhitimu mafunzo
ya kuwajengea uwezo wasichana katika masomo ya sayansi (Women in Data
Science) Dar es Salaam 2020 yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab (DLab)
kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Plc .( # Codelikeagirl ) Kushoto ni
Mkurugenzi wa Tanzania DLab Stephen Chacha, jumla ya Wasichana 60
walihitimu mafunzo hayo ya muda mfupi.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...