Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (kulia)akiteta jambo na Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya Ziwa, Ahmed Akbarali na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, Suleiman  Sekeite katika uzinduzi wa mpango wa kujenga kituo cha huduma kwa wakulima kupitia program ya M-Kulima. Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC inakusudia kuanzisha kituo cha mawasiliano cha kidijitali kitakachowawezesha wakulima kuwasiliana na maafisa ugani kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu kilimo.
Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya Ziwa Ahmed Akbarali akizungumza na wakulima wa mpunga na mahindi wilaya ya Nzega mkoani Tabora katika uzinduzi wa mpango wa kujenga kituo cha huduma kwa wakulima kupitia program ya M-Kulima. Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC inakusudia kuanzisha kituo cha mawasiliano cha kidijitali kitakachowawezesha wakulima kuwasiliana na maafisa ugani kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu kilimo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...