Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk.
Vincent Anney Naano (wapili kushoto) akikata utepe kuzindua duka jipya
la kisasa la Vodacom lililopo Musoma mjini. Wengine kutoka kushoto ni
Msimamizi wa Duka hilo, Cosmas Mseti, Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda
ya Ziwa, Ahmed Akbarali , Meneja mauzo mwandamizi Vodacom kanda ya Ziwa,
Viktoria Chale.

Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk.
Vincent Anney Naano akipata huduma toka kwa mtoa huduma wa duka jipya la
Vodacom lililopo Musoma mjini.

Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk.
Vincent Anney Naano (kushoto) akipata maelezo ya bidhaa mbalimbali
zilizopo duka jipya la Vodacom wilayani humo toka kwa Kaimu Mkuu wa
Mauzo Vodacom kanda ya Ziwa, Ahmed Akbarali mara baada ya uzinduzi wa
duka hilo.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...