Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)Dkt. Agnes Kijazi amewataka wataalamu wa hali ya hewa nchini kufanya tafiti mbali mbali za hali ya hewa zitakazosaidia kuboresha Utabiri wa hali ya hewa unaoendana na mabadiliko ya haki ya hewa yanayotokea nchini mara kwa mara
Dkt. Kijazi ambaye pia ni ni Makamu wa tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam, awakati akifungua kikao kazi kilichowakutanisha wataalamu bingwa wa hali ya hewa kutoka katika vituo mbali mbali vya hali ya hewa nchini ili kujadili utabiri wa msimu wa Vuli 2020. Kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu- TMA, Ubungo plaza
Amesema, ni vema wataalamu hao mabingwa wakatumia yale watakayojadiri katika kikao hicho ili kufuatilia mifumo ya hali ya hewa na kutumia utaalamu wao kutoa Utabiri wa Vuli 2020 na kujadili athari zinazoweza kujitokeza kutokana na Utabiri huo.
"Ninawataka kutumia vema kikao hiki ili kufuatilia mifumo ya hali ya hewa na athari mtakazojadili zitajadiliwa zsidi katia kikao cha wadau wa hali ya hewa" amesema Dkt. Kijazi
Aidha kwa upande wa wataala hao bingwa walioshiriki kikao hicho walishukuru kufanyika kikao hicho muhimu ikiwa ni mwendelezo wa maboresho ya utendaji kazi wa pamoja katika kujadili mwelekeo wa misimu ya mvua.

Matukio mbalimbali katika picha wakati wataalam bingwa wa hali ya hewa (Meteorologist) kutoka vituo vya hali ya hewa hapa nchini walipokutana kujadili msimu wa mvua za Vuli, 2020
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...