KUPANDISHA hadhi zahanati ya kijiji cha Mipeko, Ulega amesema iwapo CCM itashinda itakamilisha zahanati hiyo sambamba na kuipandisha hadhi na kuwa kituo cha afya kwani kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu linaloongezeka kila siku.
Mgombea
Ubunge jimbo la Mkuranga, Abdallah Hamisi Ulega (kulia)
akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapindunzi na Wananchi leo kata ya Mipeko
katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwenye viwanja vya Mwanambaya.
Wananchi wa kata ya Mipeko wakimsikiliza Mgombea Ubunge jimbo
la Mkuranga, Abdallah Hamisi Ulega(hayupo pichani) Muonekano wa wananchi na wakazi wa Jimbo la Mkuranga. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...