Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akikata utepe kuzindua rasmi tawi la Benki ya NCBA lililopo mtaa Kenyata jijini Mwanza leo, jumla ya matawi mawili yalizinduliwa jijini humo. Wengine kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NCBA Tanzania, Margaret Karume, Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mhe. Emmanuel Tutuba (kulia) na nyuma ni Mkurugenzi wa jijini la Mwanza, Mhe.Wakili Kiomoni Kibamba.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NCBA Tanzania, Margaret Karume, akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza,wakati wa uzinduzi wa matawi yao yaliyopo barabara ya Nyerere na Kenyata. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mhe. Emmanuel Tutuba.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella, akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza,wakati wa uzinduzi wa matawi mawili ya Benki ya NCBA yaliyopo barabara ya Nyerere na Kenyata jijini humo leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NCBA Tanzania Limited, Margaret Karume.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...