Meneja wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa tatu kushoto) akipiga picha na wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga. 

Benki ya TPB tawi la Shinyanga imeanza kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja leo Jumatatu Oktoba 5,2020.

Meneja wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso amesema katika maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa wateja iliyoanza leo na itadumu kwa muda wa wiki moja, Benki hiyo itaendelea kutoa huduma kwa wateja wake na kupokea maoni ya wateja kuhusu huduma za benki na itatoa zawadi mbalimbali kwa wateja watakaotembelea Benki ya TPB.

Hizi hapa chini ni baadhi ya picha leo Jumatatu Oktoba 5,2020 wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Karibu Benki ya TPB Bank!
Meneja wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso akiwa ndani ya Benki ya TPB Shinyanga leo Jumatatu Oktoba 5,2020 rasmi kuanza maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Meneja wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa pili kushoto) akipiga picha na wateja wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Meneja wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa pili kulia) akipiga picha na wateja wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Mteja wa Benki ya TPB akipata huduma za kibenki kutoka kwa wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Wateja wa Benki ya TPB wakipata huduma za kibenki kutoka kwa wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Mteja wa Benki ya TPB akipiga picha na wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Wateja wa Benki ya TPB wakipata huduma katika Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Mfanyakazi wa Benki ya TPB Yahaya Kaniki (kushoto) akimhudumia mteja wa Benki ya TPB
Wateja wa Benki ya TPB wakiendelea kupata huduma katika Benki ya TPB Tawi la Shinyanga.
Meneja wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa pili kushoto) akipiga picha na wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Meneja wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa tatu kushoto) akipiga picha na wafanyakazi wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Meneja wa Benki ya TPB Tawi la Shinyanga Julius Mataso (wa kwanza kulia) akipiga picha na wafanyakazi wa wa kiume Benki ya TPB tawi la Shinyanga.
Wafanyakazi wa kike wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga wakipiga picha ya pamoja.
Wafanyakazi wa kike wa Benki ya TPB tawi la Shinyanga wakipiga picha ya pamoja.
Picha zote na Kadama Malunde.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...