Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba Mjini Mkoani Kagera Moris Limbe amemtangaza Stephen Byabato wa Chama cha Mapinduzi kuwa mshindi wa Ubunge kwa Jimbo hilo kwa kupata kura 29,208 akifuatiwa na Adronicus Chief Kalumna wa CHADEMA mwenye kura 17,348.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...