Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza na Wananchi kupitia vyombo vya  Habari wa Vyombo mbali mbali vya serikali na Binafsi,kuhusu matokeo ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.

Mwandishi wa Star TV  Abdalla Pandu alipokuwa akiuliza suala kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Wananchi kupitia vyombo vya  Habari wa Vyombo mbali mbali vya serikali na Binafsi leo ,kuhusu matokeo ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar hafla iliyofanyika  Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu

Baadhi ya Mawaziri wa  Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya serikali na Binafsi,alipozungumza na wananchi  kuhusu matokeo ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar 

Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya serikali na Binafsi, wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza na Waandishi hao ,kuhusu matokeo ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza na Wananchi kupitia vyombo vya  Habari wa Vyombo mbali mbali vya serikali na Binafsi,kuhusu matokeo ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza na Wananchi kupitia vyombo vya  Habari wa Vyombo mbali mbali vya serikali na Binafsi,kuhusu matokeo ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.

Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya serikali na Binafsi, wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza na Wananchi kupitia vyombo hivyo leo ,kuhusu matokeo ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...