
Ujenzi wa mabanda ukiendelea katika eneo jipya lililoandaliwa kwa ajili ya mabanda ya kambi ya uvuvi Kemondo. Eneo jipya limeanzishwa ili kupisha utekelezaji wa mradi wa maji na kuepuka uchafuzi wa maji kuzunguka eneo la chanzo.



Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba akiwa katika kikao kuhusu mwitikio wa wananchi kuhusu mradi wa maji wa Kemondo na Burhan Mohammed, Mtendaji wa Kijiji cha Rwagati (katikati) na Cyriacus Sosthenes, Mtendaji wa Kata ya Kemondo (kulia). Kushoto ni Mhandisi Lyidia Joseph, Mkurugenzi Msaidizi, Ufuatiliaji na Huduma ya Maji wa Wizara ya Maji.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...