Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa baraka la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi wa mikoa mitâtu ya Unguja katika Kongamano la Kihistoria la kuhubiri Amani na Upendo pamoja na dua katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Leo

Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Kongamano la Kihistoria la kuhubiri Amani na Upendo pamoja na dua wakimsikiliza  Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa baraka la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja 

Baadhi ya Akinamama mbali mbali waliohudhuria katika Kongamano la Kihistoria la kuhubiri Amani na Upendo pamoja na dua wakimsikiliza  Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa baraka la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja .[Picha na Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...