Meneja wa Kinywaji cha Konyagi Tanzania (kulia) Pamela Kikuli akisisitiza jambo wakati akionesha muonekano mpya wa nembo mpya ya kinywaji cha Konyagi  wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika tafrija ya uzinduzi huo uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar.

Meneja wa Kinywaji cha Konyagi Tanzania Pamela Kikuli katikati akionesha muonekano mpya wa nembo mpya ya kinywaji hicho wakati akizungumza na waandishi wa habari katika tafrija ya uzinduzi huo mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam.
Meneja wa kinywaji cha konyagi Tanzania,Pamela Kikuli (wa tatu kulia) akiangalia namna ya uchanganyaji wa konyagi unavyofanyika kutoka kwa mmoja wa waataalam wa kuchanganya konyagi kwenye Tafrija hiyo iliyofanyika mwisho mwa wiki jijini Dar Es Salaam.
Meneja wa kinywaji cha konyagi Tanzania,Pamela Kikuli akishuhudia mmoja wa waataalam wa kuchanganya konyagi akionesha umahiri wake namna kinywaji hicho kinavyopaswa kuchanganywa na hatimaye kupatikana ladha murua, kenye Tafrija  iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam.

Meneja wa kinywaji cha konyagi Tanzania,Pamela Kikuli (wa pili kulia) akionja ladha ya kinywaji cha Konyagi kilichochanganywa kwa utaalamu wa hali ya juu kutoka kwa mmoja wa waataalam wa kuchanganya konyagi katika Tafrija iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...