
Wavuvi wakiondoka kwenda kuvua mapema leo katika mnada wa kuuzia Samaki wa kata ya Kisiju wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.

Kazi ya kutoa samahani kwenye chombo cha Uvuvi Uvuvi ukiendelea.
Wavuvi wakiondoka kwenda kuvua katika mnada wa kuuzia Samaki kata ya Kisiju wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...