Msamizi wa Uchaguzi jimbo la Ilemela, Mwanza John Wanga  amemtangaza Angelina Mabula wa Chama cha Mapinduzi kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 147,724 akifuatiwa na Grayson Warioba wa CHADEMA mwenye kura 24,022  na Mkiwa Kimwanga(ACT) kura 1,761.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...