Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipomuombea kura Mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kitangali, Newala Vijijini, Oktoba 20, 2020. Wananchi wa Newala Vijijini wakimsikiliza  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa   wakati alipomuombea kura Mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kitangali, Newala Vijijini, Oktoba 20, 2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...