Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Ilulu katika  Manispaa ya Lindi

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa  akivisha kofia ya CCM, Msanii Peter Msechu katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa Ilulu katika Manispaa ya Lindi

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akimnadi mgombea Ubunge wa CCM wa Jimbo la Lindi Hamida Abdallah katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa Ilulu kwenye  Manispaa ya Lindi

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majliwa akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025, mgombea Ubunge wa CCVM katika Jimbo la Lindi Hamida Abdallah (kulia) na mgombea Udiwani wa Kata ya Mikumi, Zahra Selemani, katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa Ilulu katika Manispaa ya Lindi,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...